Search This Blog
Thursday, December 26, 2019
Coutinho afikiria kurudi England
Staa raia wa Brazil, Phillipe Coutinho amefungua mlango wa kurudi kwenye Ligi Kuu England mwakani kama Bayern Munich watagoma kumchukua moja kwa moja wakati muda wake wa mkopo utakapokamilika.
Barcelona wamempeleka Coutinho kwa mkopo Bayern Munich kwa msimu mzima huku kukiwa na makubaliano ya kumchukua jumla kama watapendezwa naye itakapofika mwisho wa msimu.
Kama akishindikana kubaki Bayern, huenda akarudi Uingereza, kwa kuwa klabu za Manchester United na Tottenham Hotspur zimeonekana kutaka huduma zake tangu msimu uliopita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment