Search This Blog

Thursday, December 26, 2019

Kazakhstan: Ndege yenye abiria 100 yaanguka


Ndege ya Shirika la Ndege la Bek Air iliyokuwa na watu 100 (abiria 95 na wahudumu 5) imeanguka nchini Kazakhstan leo asubuhi na kusababisha vifo vya watu 9.

Ndege hiyo imeanguka muda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja wa Almatty ikielekea Nur-Sultan.

Chanzo cha ajali bado hakijawekwa wazi, lakini watu waliopo karibu na eneo la ajali wamesema kuna ukungu mzito, na kwamba huenda ulichangia kutoka ajali hiyo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...