Search This Blog

Thursday, December 26, 2019

Mtoto wa Muigizaji Bruce LEE Ataka Mgahawa Umlipe Bilion 69 Kwa Kutumia Picha ya Baba Yale

Mtoto wa Muigizaji Bruce Lee, Shannon Lee ameushtaki mgahawa wa Real Kung Fu wa nchini #China kwa kutumia picha ya baba yake kwa miaka 15 bila kuwa na kibali. Shannon anataka kulipwa fidia ya $30 milioni (TZS 69 bilioni), na TZS 29 milioni ambazo ni gharama za kesi. 📸

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...