Search This Blog

Thursday, December 26, 2019

Nikilala na Mwanaume ASIYE na Pesa Siridhiki na Wala Sifiki Kileleni..



Wapendwa naomba msaada maana naona napotea , yaani boy wangu alisafiri kikazi karibia mwaka mzima sasa huku mimi sababu ya upweke nikaanza kuchepuka na Boss wangu , kila week end ananipeleka nje ya Mji kama Bagamoyo ama Kigamboni tunalala huko na kufanya starehe za kila aina , Baada nikawa natoka na Wengine pia wenye pesa , sasa cha ajabu nikitoka na mtu ambae hana pesa za kunipeleka mbali ya mjini na kunipa starehe mbali mbali si enjoy hata tukifanya sifiki kileleni 

Sasa kibaya boywangu amerudi nashangaa simfeel hata kidogo kama zamani kwani yeye si mtu wa sterehe....yaani sometimes ili nienjoy inabidi nichepuke kwa wale mapedeshee wenye kujua starehe ni nini wanispoili kwanza roho ikiridhika hata tukiwa 6 kwa 6 nafika....

Nifanyaje?

By ROSA

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...