Search This Blog
Tuesday, December 10, 2019
AL SHABAAB Tena..Wavamia Hotel na Kuanza Kufyatua Risasi Somalia
Milio ya risasi imerindima kati ya Wanamgambo wa Al-Shabaab na Walinzi wa Hoteli ya Kifahari ya SYL katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu
Al-Shabaab wamevamia hotel hiyo iliyo karibu na Makazi ya Rais inayotumiwa zaidi na viongozi wengi wa Kisiasa wakiwemo Mawaziri
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa Wapiganaji hao wa Al-Shabaab waliingia hotelini hapo wakiwa wamevaa sare za Jeshi la Somalia na kuanza kufyatua risasi
Idadi ya Vifo bado haijajulikana lakini wakati wa kufyatua risasi kulikuwa na Viongozi kadhaa ambao baadhi hawajulikani walipo na wengine walifanikiwa kutoroka kwa kuruka ukuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment