Search This Blog

Sunday, October 20, 2019

Manchester City yarudi kwenye ushindi


Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza mwenzao, David Silva baada ya kufunga bao la pili dakika ya 41, kufuatia Gabriel Jesus kufunga la kwanza dakika ya 39 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park mjini London.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...