Search This Blog

Monday, October 28, 2019

Abiria zaidi 50 wanasurika kifo baada ya basi kupasuka tairi la mbele


Abiria zaidi ya 50 waliokuwa wakisafiri kutoka Mbeya kuelekea mkoani Songea wamenusurika kufa baada ya basi lao aina ya Huger la Kampuni ya Superfeo lenye namba ya usajili T885 DJS kupasuka tairi ya kushoto na hivyo kuacha njia na kuingia porini katika Kijiji cha Mkongotema Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana lakini uchungu unaendelea.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...