Search This Blog
Tuesday, September 10, 2019
Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Bodi ya Ushauri ya Umoja wa Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Bodi ya Ushauri ya Umoja wa Afrika kuhusu Rushwa ikiwa ni ziara ya Bodi hiyo kutathmini utekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Afrika dhidi ya Rushwa. Bodi hiyo umeongozwa na Bw. Miarom Begoto.
Tanzania ni mwenyeji wa Bodi hiyo kupitia Mkataba wa Uenyeji kati yake na Umoja wa Afrika ambapo Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ni mratibu mkuu na msimamizi wa utekelezaji wa shughuli za Bodi. Mazungumzo hayo yanefanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment