Teemu Pukki (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Norwich City bao la tatu dakika ya 50 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road.
Mabao mengine ya Norwich yamefungwa na Kenny McLean dakika ya 18 na Todd Cantwell dakika ya 28 wakati ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 45 na Rodri Hernández dakika ya 88.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment