Search This Blog

Sunday, September 15, 2019

Benzema aibeba Real Madrid

Karim Benzema amefunga mabao mawili dakika za 25 na 31 katika ushindi wa 3-2 wa Real Madrid dhidi ya Levante leo Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid.

Bao lingine la Real limefungwa na Casemiro dakika ya 40 na ya Levante yamefungwa na Borja Mayoral dakika ya 49 na Melero dakika ya 75 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...