Search This Blog
Wednesday, September 11, 2019
Arsene Wenger ajuta kushindwa kumsajili Lionel Messi
Arsene Wenger anasema moja ya majuto yake makubwa akiwa kocha wa Arsenal ni kushindwa kumsajili Lionel Messi kutoka Barcelona.
Arsenal ilijaribu kumsajili Lionel Messi mwaka 2003 na kushindwa kuipata saini yake, Kipindi hicho ndipo walimsajili Cesc Fabregas.
“Tulikuwa tuna majadiliano na Messi kipindi tunamnunua Fabregas.” Wenger aliiambia beIN SPORTS .
Akaendelea kwa kusema, "Tulitamani kumsajili (Messi), lakini alikuwa hagusiki kwa kipindi kile” .
Messi anaungana na Cristiano Ronaldo katika moja ya wachezaji ambao Wenger alishindwa kuwasaini miaka ya nyuma akiwa kocha wa Arsenal".
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment