Search This Blog

Monday, August 19, 2019

VIDEO: Mgomo madereva wakinukisha Dodoma walalamikia wamachinga kuondolewa


Madereva  Daladala zinazofanya kazi katikati ya Jiji la Dodoma  wamegoma kuendelea na kazi ya kusafirisha abiri, wakishinikiza kuondolewa kwa wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama machinga kuondolewa katika eneo hilo kwani hawafanyi kazi kwa uhuru

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...