Search This Blog

Sunday, August 18, 2019

Naibu Waziri Mambo ya Nje afanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Ndumbaro akiwa katika mazungumzo na na Jan Sadek Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Botswana walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam Leo.

Mazungumzo baina yao yalijikita kwenye masuala mbalimbali yaliyojadiliwa kwenye Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...