Search This Blog
Sunday, August 18, 2019
Kenya: Moto mkubwa wateketeza soko
Moto mkubwa umeteketeza soko la Githurai 45 nchini Kenya, Moto huo umeteketeza mali ambazo bado thamani yake haijafahamika.
Aidha kiwanda cha kutengeneza samani nacho kimeteketea, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijaweza kutambulika mara moja.
Hadi kufikia sasa mamlaka za nchini humo hazijaeleza chanzo cha moto huo ambao umezimwa kwa juhudi za kikosi cha zima moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment