Saudia imewazuia raia 300 kutoka Misri waliokuwa na viza ya kitalii na nia ya kwenda kwenye ardhi takatifu kuhiji.
Kwa mujibu wa habari kutoka katika gazeti la Misri Ahbar el-Yevm, Wamisri hao 300 waliokuwa wakienda kufanya hija wamerudishwa nchini kabla hawajatimiza lengo lao.
Katika taarifa ya maandishi kutoka wizara ya mambo ya nje ya Misri ikizungumzia kadhia hiyo ilisema haitaruhusu tena watu wanaopatiwa viza za kitalii na ziara kupitia mashirika yanayojihusisha na hijja kutoka Misri, watakaoruhusiwa ni wale tu waliokuwa na viza maalumu za hijja.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment