Search This Blog

Monday, July 15, 2019

Mgonjwa wa kwanza wa Ebola apatikana Goma, DR Congo


Nchi ya DR Congo imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola katika mji mdogo wa Goma ambao uko na wakaazi milioni moja.

Mchungaji aliyekuwa amesafiri na basi kilomita 200 kutoka eneo la Butembo hadi Goma alipatikana akiwa na virusi hivyo baada ya ukaguzi punde tu alipowasili na anaaminika kuwa alikutana na watu wenye ugonjwa huo katika eneo la Butembo.

Dereva wa basi hilo na abiria wengine 18 watapewa chanjo kwa kuwa ugonjwa huo, unaweza kusambaa kupitia mgusoano

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...