Search This Blog
Monday, July 15, 2019
Chuo cha Ufundi cha China na VETA kujenga Chuo cha pamoja
Chuo cha ufundi cha Tanzania (VETA) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na chuo cha Henan Agricultural Vocational College cha nchini China katika mpango wa ujenzi wa chuo cha pamoja, kubadilishana wanafunzi, pamoja na mafunzo kwa waalimu wa chuo cha VETA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment