Search This Blog

Tuesday, July 23, 2019

Mgogoro wa Zidane na Bale huenda ukashusha thamani zao


Mgogoro unaoendelea kati ya Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na mchezaji wake Gareth Bale umeelezwa kuwa unaidumisha thamani ya nyota huyo.

Zidane hivi karibuni aliripotiwa akimwambia mchezaji wake kuwa haitajiki ndani ya klabu hiyo na anapaswa kuondoka kwani hana nafasi.

Rais wa Madrid, Florentino Perez imeripotiwa hakuwa na furaha kwani hapendi kuona migogoro ndani ya timu hiyo kwa kuwa anaamini itashusha thamani ya mchezaji wake na suala zima la kumpeleka nchini China linatazamiwa kuwa la malipo ya kodi nyingi.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...