Search This Blog
Tuesday, July 23, 2019
Mara wapongezwa kuwa kudhibiti unyanyasaji wa kijinsia
Mkoa wa Mara umepongezwa katika mapambano dhi ya vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia hususan vya ubakaji kwa watoto wa kike.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknelojia, Prof Joyce Ndalichako ndiye aliyetoa pongezi hizo akiwa wilayani Bunda mkoani Mara baada ya kupokea taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.
Awali akitoa taarifa kwa waziri huyo wa Elimu, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima amesema Mkoa wa Mara umeendelea kupambana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia ambapo hadi sasa takribani watu 12 wamehukumiwa kwenda jela kutokana na vitendo hivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment