Search This Blog

Tuesday, July 2, 2019

Kenya yaruhusiwa kuanzisha mashindano ya mbio za magari


Kenya imeruhusiwa kuanzisha mashindano ya mbio za magari maarufu Safari Rally ili kufuzu kushiriki katika World Rally Championships(WRC).

Viongozi wa kimataifa wa Automobile Federation (FIA) walithibitisha Jumanne, wakisema kuwa mashindano hayo yatakuwa kikwazo cha mwisho kabla ya kuruhusiwa kushiriki katika WRC. 2020.

Mashindano hayo ya Safari Rally yata tafanyika Juni 5-7 huko Nairobi na Naivasha, karibu kilomita 90 kaskazini magharibi mwa Nairo

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...