Search This Blog
Saturday, June 1, 2019
Anthony Joshua ajifua eneo la wazi New York kwa pambano lake la leo
Bingwa wa ngumi uzito wa juu duniani, Anthony Joshua amefanya mazoezi ya wazi mjini New York nchini Marekani kuelekea pambano lake la leo na Andy Ruiz mjini humo siku ambayo pia mabondia wa kike Delfine Persoon na Katie Taylor watapigana.
Joshua mwenye urefu wa futi sita kwa sasa anashikilia mataji matatu kati ya manne; IBF, WBA na WBO akiwa na rekodi ya kushinda mapambano yake yote 22, kati ya 21 kwa knockout.
Ruiz mwenye urefu wa futi nne amepoteza pambano moja na kushinda 32, huku 21 akishinda kwa knockout pia. Delfine Persoon wa Ubelgiji ndiye bingwa wa taji la WBC uzito wa Light na Katie Taylor wa Ireland anashikilia mataji ya WBA, IBF na WBO uzito huo wa Light.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment