Search This Blog
Monday, May 27, 2019
Serikali yashauriwa kuanzisha kiwanda cha kuchakata utomvu wa miti
Wadau mbalimbali wa miti kutoka wilaya za Songea,Namtumbo na Nyasa mkoani Ruvuma pamoja na wilaya ya Mufindi katika mkoa wa Iringa, wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata utomvu unaotokana na miti aina ya Misindano ambapo utomvu huo hutumika kutengeneza madawa mbalimbali ya binadamu pamoja na Gundi.
Teknolojia hii ya uvunaji wa utomvu kutoka kwenye miti aina ya Misindano katika shamba hili la miti la Sao Hill lililopo wilayani Mufindi mkoani Iringa, kwa sasa inafanywa na mwekezaji kutoka nchi ya China pekee ambapo tangu julai mwaka jana hadi mei mwaka huu wilaya ya Mufindi imeingiza faida ya zaidi ya shilingi milioni 900 lakini kubwa ni wito kwa serikali kuanzisha kiwanda hicho hapa nchini Tanzania.
http://bit.ly/2K2Scw4
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment