Search This Blog

Saturday, May 25, 2019

Mchungaji afungwa miaka 25 kwa kubaka na kuua Kenya


Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Kitale dhidi ya Mchungaji, Charles Nyanchwara Okere(30) aliyekuwa na hatua ya kumbaka na kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne.

Mchungaji huyo alitenda kosa hilo miaka 9 iliyopita huko Naisambu, Kaunti ya Tans Nzoia.

Imethibitika kuwa baada ya kumbaka alishikiliwa na Polisi lakini aliachiwa kwa dhamana ndipo alipomtafuta Msichana huyo aliyekuwa na ujauzito wa miezi 5 na kumuua. Mahakama imetoa siku 14 za kukata rufaa.



http://bit.ly/2wlhBsM

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...