Search This Blog

Monday, May 27, 2019

Chelsea yaweka hadharani dau la kumuuza Hazard

Klabu ya Chelsea wameweka dau la want £130m kwaajili ya kumuachia Eden Hazard kuondoka Stamford Bridge kuelekea Real Madrid.

Madrid wanaamini thamani ya mchezaji huyo raia wa Ubelgiji si zaidi ya €100m (£88m) kutokana na mkali huyo kubakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake wa sasa na Chelsea.

Chelsea hawana wasiwasi katika kumuuza mchezaji huyo na na majadiliano ya mpango huo yanasimamiwa na mkurugenzi wa michezo wa Chelsea mwanamama Marina Granovskaia.

http://bit.ly/2WaMe3L

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...