Search This Blog

Monday, May 27, 2019

Manchester United yachemka kwa beki wa Ajax

Klabu ya Manchester United imejitoa kwenye mbio za kumuania beki wa klabu ya Ajax Matthijs de Ligt.

Habari zilienea kuwa Man United wangemsajili beki huyo mwenye thamani ya £65m kipindi hiki cha majira ya joto.

Lakini United wamejitoa kwenye mbio hizo kutokana na uongozi wa Manchester United wanaamini beki huyo mwenye miaka 19 anajiandaa kujiunga na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania.

http://bit.ly/2MkuWwy

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...