Search This Blog
Saturday, October 16, 2021
Wizara ya Nishati kufanyiwa maboresho
Waziri wa Nishati January Makamba amesema wizara yake iko kwenye mapitio ya mifumo, miundo na watu wanaosimamia taasisi zilizo chini ya wizara hiyo.
Amesema kama itaonekana kuna haja ya kubadilisha mifumo au watu jambo hilo litafanyika kwa lengo la kuleta maboresho yenye tija.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment