Search This Blog
Saturday, October 16, 2021
Rayvanny amzawadia gari director wake
Msani Rayvanny kutoka WCB ameamua kuonyesha upendo kwa mtayarishaji wake wa video (director)Eris Mzava ama 'China Boy' kwa kumpa zawadi ya gari.
Rayvanny ameamua kumzawadiaEris Mzava gari aina ya Toyota Corolla Rumion, ikiwa ni jitihada za Director huyo katika kujituma na utendaji kazi wake na muda wa miaka mingi wakiwa bado pamoja. @erismzava ameonyesha kufurahishwa na zawadi hiyo, amemshukuru Rayvanny kadhalika na uongozi mzima wa NLM.
Tukio hilo limejiri usiku wa kuamkia leo katika studio za Next Level Music 'NLM' zilizopo Mbezi Beach, jijini Dar es salaam.
"NLM Big family @erismzava New 🚘" - ameandika Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment