Search This Blog

Friday, October 15, 2021

Wegi wahofiwa kifo baada ya mlipuko katika msikiti wa Afghanistan wakati wa ibada


Wengi wahofiwa kufariki baada ya mlipuko kukumbuka msikiti wa dhehebu la Shia wakati wa ibada ya Ijumaa katika mji wa Kandahar Afghanistan .
 

Vyombo vya habari vinaripoti kwamba mlipuko huo ulitokea katika msikiti wa Imamu Bargash na kwamba idadi kubwa ya watu wameuawa

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...