Wanajeshi wengine saba walijeruhiwa katika shambulio hilo karibu na mji wa Yirgou, mapema Jumatatu.
Wizara ya ulinzi ilisema shambulio la kujibu uvamizi huo lilifanywa na liliwaua waasi kadhaa.
Mnamo Juni, takribani maafisa 15 wa polisi walivamiwa na kuuawa huko Yirgou.
Wapiganaji wa kiisilamu wamewaacha zaidi ya watu milioni moja nchini Burkina Faso, wakati wengine wengi katika eneo la Sahel la Afrika wanaishi chini ya tishio la ghasia zao.
No comments:
Post a Comment