Search This Blog

Friday, October 8, 2021

Tanzania yapokea dozi zaidi ya laki tano za Corona kutoka China


Dozi 576,558 za chanjo dhidi ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka China zawasili nchini.


Dozi hizi zimeletwa nchini chini ya mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uitwao Covax Facility ambayo ni sehemu ya Dozi 1,065,600. Dozi nyingine 489,042.

Taarifa hiyo imethibitishwa na Mkurugenzi wa huduma za mawasiliano na Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania Bw Gershom Msigwa kupitia ukurasa wake wa Twitter

‘’Tumepokea dozi 576,558 za chanjo dhidi ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka China’’, imesema taarifa ya Bw Msigwa:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...