Baraza la mawaziri lilisema ingawa makabila ya mashariki yana malalamiko halali, hatua yao ya kufunga bandari kuu ya Sudan kwa wiki mbili inawaathiri watu wote wa Sudan.
Aidha, Imeahidi kutafuta suluhu la kiuchumi na kutengwa kisiasa kwa eneo la mashariki mwa Sudan na kuwataka waandamanaji kujiunga na mazungumzo.
Tayari Sudan ilikuwa na upungufu, uliotakana na mzozo wa kiuchumi uliosababishwa na kupinduuliwa kwa Rais Omar al-Bashir, mwaka 2019.
No comments:
Post a Comment