Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ngorongoro Mkoani Arusha utakaofanyika Desemba 11, 2021 pamoja na Uchaguzi mdogo wa Diwani wa Kata ya Naumbu Mkoani Mtwara
Nafasi wazi ya Ubunge imetokana na kufariki kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro, William Ole Nasha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Septemba 27, 2021.
No comments:
Post a Comment