Search This Blog

Wednesday, October 20, 2021

Afrika kusini yasitisha matumizi ya chanjo ya Sputnik V kutoka Urusi


Afrika Kusini imezuia matumizi ya Chanjo ya COVID 19 kutoka Urusi ya Sputnik V kwa madai inaongeza hatari ya kupata Virusi vya UKIMWI kwa Wanaume


Shirika la Afya Duniani (WHO) halijaidhinishaSputnik V kwa matumizi ya dharura, lakini imekuwa ikitumika katika Mataifa 45 ikiwemo Zimbabwe na Namibia


Taasisi ya Gamaleya ambayo imetengeneza Chanjo hiyo imeahidi kuthibitisha kuwa haiongezi maambukizi kama inavyodaiwa na madai Afrika Kusini
 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...