Search This Blog
Monday, October 18, 2021
Mvua yaua na kujeruhi Katavi
Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyeshwa kwa muda wa dakika 30 Kijiji Cha Majimoto halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi Jumapili Oktoba 17, 2021 imesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi huku ikiwa imesababisha hasara ya mamilioni kwa wafanyabiashara baada ya kubomoka kwa majengo ya kuhifadhia mpunga na Mchele na kuloana kwa mazao hayo.
Wakizungumza na wasafi Media wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda walioathirika wamesema kwa tathmini za haraka haraka baadhi yao wamepata hasara ya kupoteza mizigo yenye thamani ya zaidi ya milioni Mia tatu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment