Search This Blog

Sunday, October 10, 2021

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza leo dhidi ya Benin

 


Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars ambacho kitaanza leo katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia, Qatar 2022.

Huu ni mchezo wa pili dhidi ya Benin baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao kusoma Tanzania 0-1 Benin hivyo leo kuna kazi ya kupindua meza kibabe.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...