Search This Blog

Wednesday, October 20, 2021

Biden kumteuwa mwanadipolomasia kwa Pakistan


Rais Joe Biden wa Marekani amepanga kumteuwa Donald Blome, ambae kwa sasa balozi wa Tunisia kuwa mwanadiplomasiwa wa juu kabisa kwa Pakistan, kwa lengo la kudhibiti hali ya mambo katika taifa jirani la Afghanistan, kufuatia kuondoka kwa majeshi ya Marekani. 
 
Blome nia mwanadiplomasia mwenye ujuzi katika masuala ya kigeni na ana uzoefu wa muda mrefu katika ukanda huo, ambapo pia aliwahi kufanya kazi katika ubalozi mjini Kabul. 
 
Pakistan inashiriki kwa kiwango kikubwa katika masuala ya kidiplomasia na utawala mpya wa taifa jirani yake wa Taliban. 
 
 Na mashirika ya misaada ya kimataifa yaomeonya kwamba Afghanistan itaingia katika janga baya la kiutu pasipo kupata usaidizi.

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...