Search This Blog

Wednesday, October 6, 2021

Bernard Membe- Rais Samia anatosha kutuongoza


Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi jasiri na mahiri, anatosha kuiongoza Tanzania na anamuunga mkono kwa kazi kubwa anayoifanya.

Membe ameyasema hayo Jana alipozungumza mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo Mkoani Lindi.

Membe amemuomba Waziri Mkuu afikishe salamu zake pamoja na za wananchi wa kijiji cha Rondo kwa Mheshimiwa Rais Samia kwamba wanamuunga mkono katika jitihada kubwa za kuwaletea wananchi maendeleo.
 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...