Serikali ya Kenya wiki iliyopita ilitangaza ukame kama janga la kitaifa, huku majimbo ya Kilifi, Kwale, Tana River na Lamu yakiwa miongoni mwa maeneo ambayo yanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kwa sababu ya ukosefu wa mvua.
Tayari mtu mmoja amefariki katika eneo la Kilifi kutokana na makali ya njaa.

No comments:
Post a Comment