Search This Blog

Monday, September 13, 2021

Taliban: Sio lazima wanawake wawepo kwenye baraza la mawaziri



Msemaji waTaliban, Syed Zekrullah Hashmi amesema hawaondoi uwezakano wa kuwashirikisha Wanawake katika Serikali yao japo sio lazima kwa Wanawake kuwepo kwenye Baraza la Mawaziri


Serikali mpya ya Taliban imetangaza kuwaruhusu Wanawake Nchini #Afghanistan kuendelea na masomo yao katika Vyuo Vikuu lakini Madarasa yatatenganishwa na watatakiwa kuvaa mavazi ya dini


Abdul Baqi Haqqani ametangaza sera hiyo mpya katika mkutano na Waandishi Habari, siku chache baada ya Taliban kutangaza Serikali mpya



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...