Search This Blog

Monday, September 13, 2021

Zacharia Hans Poppe kuagwa leo katika viwanja vya Karimjee


Aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe kuagwa leo katika  viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam ambako watu wote watapata nafasi ya kumuaga.

Hii hapa  Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Zacharia Hans Poppe. 

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...