Search This Blog
Wednesday, September 1, 2021
Waziri wa Mifugo na Uvuvi amteua Profesa Lughano Kusiluka kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Veterinari
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemteua Profesa Lughano Kusiluka kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Veterinari Tanzania.
Kusiluka ambaye ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe anachukua nafasi hiyo iliyokuwa inashikiliwa na Profesa Rudovick Kazwala.
Uteuzi huo utaanza leo Jumatano Septemba kwa kipindi cha miaka minne.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment