Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Maaskofu pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa la Anglikana nchini, wakati walipomtembelea Waziri huyo, ofisini kwake, Mtumba, Jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes, alipokuwa akizungumza katika Kikao kilichofanyika ofisi ya Waziri huyo, Mtumba, Jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kushoto), akimsikiliza Mjumbe wa Sinodi ya Kanisa Anglikana, Dkt. John Kalaghe (kulia), alipokuwa akizungumza katika Kikao na viongozi hao kilichofanyika ofisi ya Waziri huyo,
No comments:
Post a Comment