Search This Blog

Wednesday, September 1, 2021

Wachezaji 23 wa Taifa Stars wakwea pipa kuelekea nchini DR Congo



ORODHA ya wachezaji 23 wa timu ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars kilichokwea pipa kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia.

Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen inatarajia kutupa kete yake Septemba 2, kwenye orodha hii nahodha Mbwana Samatta ataibukia Congo.

 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...