Search This Blog

Wednesday, September 1, 2021

Fred Vunja Bei: Tutazindua jezi za Simba septemba 4, ni nzuri tena za tofati sana


"Jambo moja naweza kusema ni jezi nzuri sana. Tutakuwa na jezi za aina tofauti sana kulinganisha na timu zingine za ndani. 

Baada ya uzinduzi jezi zitakuwepo kwenye maduka ya Vunja Bei na tutauza masaa 24," amesema Fred Ngajiro, Mkurugenzi wa kampuni ya Vunja Bei.

 "Uzinduzi wa jezi tutafanya jumamosi Septemba 4, 2021 saa 1:00 usiku jijini Dar es Salaam. Litakuwa tukio ambalo litahusisha wadau mbalimbali, pia tutakuwa live kupitia Azam TV."- CEO wa Vunja Bei, Fred



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...