Search This Blog

Thursday, September 16, 2021

TANGAZO! TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO

    



Uongozi wa shule ya Bishop Makaya iliyopo kasulu mjini mkoani kigoma unapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza.


Pia kuna nafasi za kuhamia kidato cha pili kabla ya 16/2/

Shule ni ya bweni tu na ni mchanganyiko wavulana na wasichana.


Shule ina milikiwa na kanisa la ANGLIKANA DAYOSISI YA MAGHARIBI kanisa kuu la Anglikana kasulu mjini.


Shule inamazingira mazuri ya kujifunzia na pia kuna walimu wa kutosha.









Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka.


Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga simu 0752721364 / 0743516481 / 0734534835



 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...