Search This Blog

Wednesday, September 22, 2021

Mwanaspoti wa Burkina Fasso aliyevunja rekodi ya dunia ya unyanyuaji uzani apokelewa kama shujaa



Mwanaspoti wa Burkina Faso aliyevunja rekodi ya unyanyuaji uzani siku ya Jumamosi amepokelewa kama shujaa katika uwanja wa ndege Ouagadougou siku ya Jumatatau,kulinngana na kituo cha Radio ya Ufaransa RFI.

Cheick Ahmed al-Hassan Sanou - maarufu Iron Biby - alinyanyua mbao ya uzani wa kilo 229 juu ya kichwa chake katika fainali ya the Giants Live World Tour huko Scotland na kuvunja rekodi ya zamani ya ya dunia ya kilo 228.

Iron Biby aliyekuwa na tabasamu alipokea kombe hilo kwa heshma ya Burkina Faso, na kunukuliwa na RFI akisema ushindi wake unatuma ujumbe wa matumaini.

“Ni kitu kikubwa kwangu, kwa sababu tangu mwaka 2018 nimekuwa nikijaribu kuvunja rekodi ya dunia.”

RFI pia imeripoti matamshi sawia na hayo kutoka kwa Waziri wa michezo Dominique Nana.

"Bendera ya Burkina Faso imeshinda

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...