Search This Blog

Monday, August 23, 2021

Wasafiri lazima kupimwa corona kuanzia septemba Uganda



Wasafiri wote watakaoingiaUganda kuanzia Septemba 3, 2021 wakiwemo Raia wa Nchi hiyo watatakiwa kupimwaCOVID19 kabla hawajaruhusiwa
-
Kanuni za awali ziliwataka wasafiri kuonesha vipimo vilivyochukuliwa saa 72 kabla ya safari vikionesha hawana maambukizi, lakini kutokana na kuwepo Vyeti feki na aina mpya za Virusi, Kanuni zimefanyiwa marekebisho
-
Aidha, wataokutwa na maambukizi watapelekwa maeneo yaliyotengwa na Serikali tofauti na mwanzo ambapo walipewa nafasi ya kukaa mahali walipochagua wenyewe


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...