Search This Blog
Friday, August 13, 2021
Tanzania: Mwenyekiti wa Kampuni za Asas afariki dunia
Mwenyekiti wa Kampuni za Asas Group, Alhaj Faraj Ahmed Abri amefariki dunia Leo Ijumaa Agosti 13, afajiri, akiwa Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika familia hiyo, Mzee Abri ambaye ni baba mzazi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Abri Asas, maziko yatafanyika leo baada ya Swala ya adhuhuri katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment