Rais Kais Saied ameongeza muda kusimamishwa kwa Bunge. Mwezi Julai, alimfuta kazi Waziri Mkuu na kuchukua Mamlaka ya Utendaji, hatua ambayo Wapinzani walisema ni Mapinduzi
Ikiwa ni Mwezi mmoja baada ya kufanya maamuzi hayo, Rais Saied bado hajateua Waziri Mkuu mpya au kutangaza Mwongozo ambao umekuwa ukidaiwa na Washirika wa ndani na nje ya #Tunisia
Amesema alihitaji kuingilia kati ili kuokoa Nchi hiyo yenye changamoto mbalimbali ikiwemo ufisadi. Hali katika Taifa hilo imezidi kudorora kutokana na Janga la #Corona

No comments:
Post a Comment