Search This Blog

Saturday, August 21, 2021

Rais Samia apokea ripoti ya uchaguzi mkuu 2020



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu, Dar es Salaam anapokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020


Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM, Hayati John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea Mwenza walishinda


Machi 17, 2021 Rais Magufuli alifariki na aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...